Inasikitisha sanaSpain wanatia huruma sana... Pole yao sana...
Leo pekee in 24hrs vifo kutokana na Covid19 ni 950...
Cc: mahondaw
Inasikitisha sanaSpain wanatia huruma sana... Pole yao sana...
Leo pekee in 24hrs vifo kutokana na Covid19 ni 950...
Cc: mahondaw
😀😀
Jana ilikua tbw, leo tbt kesho tbf....Nlimaanisha yani nyie kwenu kila siku ni tbt
😀🙌🏽Jana ilikua tbw, leo tbt kesho tbf....
Angetuuliza tunao miliki sio kutoa hukumu tu. Kuna wanaume wamependelewa na Mungu kwa kupewa "meno" imara lakini kucha kuchwa wana shindia kunywa "uji"...
Umesema kweli.Sera yetu ha lugha ni ya hovyo bro...
Ukifika la 7 wanakuanzishia Kimalkia fomu wani hata Kiswahili kile chenyewe kabisa rasmi bado....
Mpaka ukaanze kukielewa elewa Kimalkia fomu 3 hukooo na tayari ushavuka miaka 14. 14 ni umri ambao wataalamu wa Isimu ya Ubongo (Psycholinguistics) wanaamini kwamba mtoto akishavuka hapo inamuwia vigumu sana kujifunza lugha mpya na kuimudu sawasawa kama mzawa. Tunawachanganya sana watoto katika kipindi hiki kiasi kwamba wanakuwa hawajamudu lugha yo yote sawasawa kwa kiwango cha umakinifu wa kutosha. Matokeo yake ni vurugu tupu...
Shemeji [emoji122][emoji122][emoji122]Wanafanana yaani mpaka siyo poa....Basi tu yaani...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1406846
Shikamoo bro
Marahaba MkokaaShikamoo bro
Hata robo huyu hamfikii Kabula [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Dahh!!!Hata robo huyu hamfikii Kabula [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mungu ni mwema kwetu sote.
Kiingereza cha kuongea ni changamoto kwa wengi wetu. Labda watoto wa kishua akina KD ambao kuanzia chekechea wamesoma Inglishi midiamu ndiyo wana unafuuUmesema kweli.
Mimi Kiingereza cha kuongea kimoyo moyo sio siri,nakiweza sana. Tuje kwenye kuongea kwa sauti sasa, yaani magego yanauma, shingo ina kakamaa, mikono haitulii kutoa maelezo kwa vitendo, macho hayatuliii, kichwa kinauma kwa kukaza mishipa.... Yaani ni tafrani [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo vipi?View attachment 1406734