Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CB93E0A5-6E31-48AB-AB3B-5A8F3EC45DD9.jpeg
 
Nimeongelea kwa upande wangu mimi binafsi kinachosababisha ni hicho tu wala sio kingine......

Kama hili swala limeenea mpaka sehemu rasmi kama magazetini, nini kitatokea mbeleni kama tatizo litazidi kukita mizizi?
OK.....

Wanapiga makelele eti taaluma ya uandishi imevamiwa na watu ambao siyo weledi. Mara hivi....ila nadhani pengine ni mojawapo ya athari mbovu za sera yetu ya lugha. Tumefika mahali sasa watu wetu (hata wanaojiita wasomi) Kiingereza hawakijui sawasawa na Kiswahili nacho kinawapa shida - hasa kile rasmi kabisa kinachotakiwa katika mazingira rasmi kama vile kwenye vyombo vya habari na kwingineko.
 
Back
Top Bottom