Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya mashairi siyakumbuki kabisa ila yanakuja kwa mbaali

Ila Joslin nyombo zake maarufu ni
Perfume
Msikaji mmoja
Niite basi
Huo wimbo hiyo ilikuwa chorus,alikuwa anaimba mdada ..nitautafuta huu wimbo nikukumbushe

Niite Basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Ni za kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
400018700029_20755.jpg
 
Ulizidisha makelele....

Jifunze kitu kutokana na tukio hili....

Wuhuuuuu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]

Wacheza rede kuja kuupata ubingwa tena itakiwa 2090 huko. Utakuwa na miaka 88
Poor LFC [emoji24]

Kuna mawili;
Aidha utakuwa nabii
Au
Ulikuwepo kwenye maamuzi.

Mara nyingi umeongea hiki kitu humu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poor LFC [emoji24]

Kuna mawili;
Aidha utakuwa nabii
Au
Ulikuwepo kwenye maamuzi.

Mara nyingi umeongea hiki kitu humu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kiuhalali wangewapa tu ubingwa. Probability ni kubwa sana kuwa ubingwa ulikuwa ni wenu mwaka huu. Wasipowapa hata mimi nitasikitika japo siyo sana kivile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tunaona athari hizi zinazichomoza hata katika mazingira rasmi (magazetini na hata vitabuni). Ni jambo la kawaida na siyo kweli kwamba lina kisababishi kimoja tu kama unavyodai (urahisi wa uandishi).
Nimeongelea kwa upande wangu mimi binafsi kinachosababisha ni hicho tu wala sio kingine......

Kama hili swala limeenea mpaka sehemu rasmi kama magazetini, nini kitatokea mbeleni kama tatizo litazidi kukita mizizi?
 
Back
Top Bottom