Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Kununu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe upo vizuri sana. Ukimaliza hiyo naomba ile ya wale jamaa wa university corner tshirt na jeansZali la mentali
Limetokea akati Mimi Nina njaa
Nikapendwa na demu kale
Nakuwaacha watu wote wakinishangaa
Katika mitaa
Naitwa Vicky Nina miaka 22
Ni mtoto wa pekee kwenye familia ya kitajiri
Oh najitwa J nanananan
Dada habari samahani Naomba niulize swali
Ooh nanana hii ngoma ya gari
Dada mbona mkali
We kinyago fanya yaishe[emoji23]
Vicky Ni j j Ni Vicky nananana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila Moja anapendezaKumbe upo vizuri sana. Ukimaliza hiyo naomba ile ya wale jamaa wa university corner tshirt na jeans
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Upo vyema. Itabidi tuanzishe kundi humu la zilipendwa. Tupia Latifa ya MB Dog.Kila Moja anapendeza
Hakuna inayemchukiza
Sitaweza kuiacha inanitoa chicha nami nawakilisha[emoji1787][emoji444][emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachotaka milele uwe wanguUpo vyema. Itabidi tuanzishe kundi humu la zilipendwa. Tupia Latifa ya MB Dog.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Carba aliweka Yebo za watoto ndio Th akaja kusema "Tayari" akiwa na maana ya kwamba tayari Carba kapata mtoto
Zingatia ulikuwa ni utani tu
Napenda pale anaposema "vipo vya kushare Lati sio mapenzi..." Kwa kweli itabidi COVID-19 iishe haraka. Ili uje tuimbe live.Nachotaka milele uwe wangu
Nanananana mama wa watoto wangu
Kwani nishaachana na habari za machangu
Sema Basi unachotaka Mami
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako
Kumbuka mb dog nakupenda
Ukiniacha nanana nitakonda
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaKwani tayari upo kwenye list?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ya kale Ni dhahabu bossNapenda pale anaposema "vipo vya kushare Lati sio mapenzi..." Kwa kweli itabidi COVID-19 iishe haraka. Ili uje tuimbe live.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hiyo ni nzuri sana. Kuna mtu nilimwambia kukaa home ndio nzuri maana unakuwa upo karantini. Akacheka sana. Kiukweli ni njia nzuri ya kuepuka misongamano.
Huu mziki ni hatari sana. Ila ndio hivyo tena na wanamuziki wenyewe wamepotea mazima
Hofu ni kwa Hawa wanaoenda kaziniHiyo ni nzuri sana. Kuna mtu nilimwambia kukaa home ndio nzuri maana unakuwa upo karantini. Akacheka sana. Kiukweli ni njia nzuri ya kuepuka misongamano.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Tuwaenzi kwa kuimba nyimbo zaoHuu mziki ni hatari sana. Ila ndio hivyo tena na wanamuziki wenyewe wamepotea mazima
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk