Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Aisee sawa ankoo, unaogopa korona?Mungu ni mwema kwetu sote.
Naomba tukae kamati maana huko sitarajii kuonekana mwezi huu. Tutapeana maelekezo kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bana....kwahiyo kumbe natakiwa kurudi nyumbani kumenoga!!Eeh! Hatari hiyo naona inakimbiza sasa hivi
Msema kweli ni mpenzi wa.....Dahh!!!
Shemeji ulivyo pindua meza sijaamini [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Mahmoud umeanza Mambo gani haya?[emoji53][emoji19]
😂😂😂😂 kwa Mtogole hakuna beach labda beach tope
Katika ubora wako ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Angetuuliza tunao miliki sio kutoa hukumu tu. Kuna wanaume wamependelewa na Mungu kwa kupewa "meno" imara lakini kucha kuchwa wana shindia kunywa "uji"...
Tuacheni wenye "meno" mabovu tuendelee kutafuna "nyama" kwa style tunazo zijua...
#nyamangumuhuliwakwakuning'inizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]maisha yangu tu imekuwa corona tosha.
Enzi za Njinjo?Msema kweli ni mpenzi wa.....
Huyo niliyemuweka ukipiga akili vizuri unamfahamu. Nilishakutambulisha [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wa kwanza Isabella
Haya anko Mungu akufanyie wepesi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]maisha yangu tu imekuwa corona tosha.
Kuna mambo yamepandana ndivyo sivyo najaribu kuya shusha kistaarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njinjo? Hapa hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]yaani yule jamaa ni shwaini kabisaKatika ubora wako ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]