Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee basi tuletee na huku mikoani
Nazunguka nalo sana hadi nahisi kupoteza uwezo wa kubeba huku na huko.
Ahsante kwa kunihurumia Anko, kiimfaacho mtu chake. Hakuna mtu humu amewahi kunihurumia kwa kadhia hii niipatayo. Ni wewe tu.
Mungu akubariki sana mama[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8617861289967_status_60f29c67135142758f3c01c89f272963.jpg
 
Back
Top Bottom