Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shauri yako...

Ukiingia matatani mi simo wala usinitaje...

Tena nitabadili na ID kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa nimeelewa shemeji.
Niseme tu kila mkusanyiko una faida kwa walio kusanyika. Mungu akazidi kutenda, maana ni kwa faida yetu sisi sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tunaulizana maswali magumu hivi bro?

1. Ndio itakata bundle ya kupakia(upload) ila siwezi kukuhakikishia kama itakatwa 20MB tuu au pungufu...
2. Ndio, atakatwa pia MB za kupakulia(download) japokua zinaweza zisiwe exactly hiyo 20MB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…