Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

COVID 19.
Kuenea kwa corona Afrika na hasa Tanzania na majirani zake kunaleta taharuki.
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo hatari kwa nchi tatu za Congo, Kenya na Rwanda ni makubwa.
Kwa mara ya kwanza Kenya imeivuka Rwanda na kuongeza idadi wa waliofariki kwa ugonjwa huo.
Na kwa mara ya kwanza nchi ya Malawi imepata visa vitatu vya corona.
Nchi ya Msumbiji hali inaonekana siyo mbaya sana maana kasi ya kuenea kwa ugonjwa huo siyo kubwa

Afrika mashariki na nchi jirani na Tanzania.
1.Jamuhuri ya Congo 134 vifo 13
2.Kenya 104 vifo 3
3.Rwanda 84
4.Uganda 45
5.Zambia 39 vifo 1
6. Tanzania 20 vifo 1
7.Msumbiji 10
8.Burundi 3
9.Malawi 3
 
Tumuombe Mungu auondoe huu ugonjwa[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…