Mbambadu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 253
- 458
😂😂😂😂😂😂Hasa kwenye kupokea wageni huwa juhudi zako zinanifurahisha sana.
Shida uliyo nayo ni safu ya umaliziaji [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Nitafungaje wakati mawinga hawaleti mipira kati?
Salama bro?
😂😂😂😂😂carbamazepine[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1407175
😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka kiboya sana
Shwain zako babe
Hi babe[emoji2088]View attachment 1407176
Naona upepo ushageuka.hujawahi kuniangusha[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1407178
Tafizo lako ulitaka maji yapande mlima....Naona upepo ushageuka.
Wazima lakini?
Kuna kitu umekula wewe, ila sawa tuu.Tafizo lako ulitaka maji yapande mlima....
Fresh sana bro, vipi habari yako?
😂😂😂😂😂😂😂 daah!
Leo kwayaLeo nasikiliza kitu Cha Arusha
Mwaka 98..ulikuwa hata tumboni hujatungwa kabisaView attachment 1407374
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 daah! Hufai wewe jamaaKuna kitu umekula wewe, ila sawa tuu.
Salama aisee, kumekucha salama tena.Uwe na siku njema.
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najikazaView attachment 1407297
Umetisha sana leo umekinukisha sio poa 🙌🙌7:02.....muwe na asubuhi njema