Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli.
Kumbuka mkurugenzi wa Shirika la afya ulimwenguni WHO, aliwahi kuonya,
Takwimu za Corona toka bara la Afrika zisiaminike sana maana vitendea kazi vya nchi nyingi barani humo ni duni
Huu ugonjwa unazidi kuwa mbaya.
Umeathiri Mambo mengi...halafu hapa bongo usikute umesambaa Sana tu,Ni vile tu Hadi kuja kutoa taarifa na kumpima mtu [emoji26][emoji26]
 
FB_IMG_1585857926096.jpeg
 
Back
Top Bottom