moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Doh[emoji22]Yaa, marehemu wa corona anabaki na virus kama ilivyo kwa marehemu Ebola na kipindupindu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa unazidi kuwa mbaya.
Umeathiri Mambo mengi...halafu hapa bongo usikute umesambaa Sana tu,Ni vile tu Hadi kuja kutoa taarifa na kumpima mtu [emoji26][emoji26]
Tuzidi kuomba tu MunguNi kweli.
Kumbuka mkurugenzi wa Shirika la afya ulimwenguni WHO, aliwahi kuonya,
Takwimu za Corona toka bara la Afrika zisiaminike sana maana vitendea kazi vya nchi nyingi barani humo ni duni
Kuna kifurushi cha hizi picha nimekipata jana usiku, nilicheka sana πππView attachment 1407269
πππ
Ewaaaa, nilikua naisubiria hii.View attachment 1407295
Ni waongo kabisa