Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hajui kupokea pasi anazopewa na kdDavet mbona kama bradha huwa anakulalamikia sana
Pamoja bro.πππππ daah! Hufai wewe jamaa
Poa kaka nashukuru pia nashukuru tena lile jibu lako nililiona
Anne umesema nini eti??Haya bana.
ππAnne umesema nini eti??Haya bana.
Yaani hadi wewe unasema hivi?Nashindwaje kupokea pasi wakati hawatoi pasi??
Habari ya asubuhi broDavet mbona kama bradha huwa anakulalamikia sana
Hakuna mtu anatoa pasi.Ni vile anataka muamini kuwa anatoa pasi.Kwa nini mtoa pasi halalamiki kwa pasi zake kupotea ovyo?
Safi bro kwema?Habari ya asubuhi bro
Ila kila mtu hapa jukwaani anaona kinachoendelea dimbaniHakuna mtu anatoa pasi.Ni vile anataka muamini kuwa anatoa pasi.
Eti simpigii pasi za mwisho madai yake nakuwa mbinafsi kama cr7 wa Madrid, juzi kaamua kuja kunikaba mimi mwenzake ili achukue mpira lakini nimempiga konga kaanguka ndio naona hapa analalama kwamba natumia dawa πDavet mbona kama bradha huwa anakulalamikia sana
Kwema aisee.Siku njema huko.Safi bro kwema?
πππ
Unampigia pass nzuri kabisa ila yeye hawezi kutuliza mipira anatulizia ugoko hatimae mpira unarudi kwako
Swali la msingi sana hili πKwa nini mtoa pasi halalamiki kwa pasi zake kupotea ovyo?
Mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona broHakuna mtu anatoa pasi.Ni vile anataka muamini kuwa anatoa pasi.
Hahah inaeudi kwakoUnampigia pass nzuri kabisa ila yeye hawezi kutuliza mipira anatulizia ugoko hatimae mpira unarudi kwako
ππ kumbe unaujua mchezo nikajua nawe shabiki mandaz
Eeh inakua kama umepiga mpira ukutani tu πHahah inaeudi kwako
Hahah! Vipi lakini broEeh inakua kama umepiga mpira ukutani tu π