Huku freshKwema aisee.Siku njema huko.
Uliona kiatu chako kwa Felister
Kimtindo tu mzee maflu jau sana, vipi hapo?Hahah! Vipi lakini bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anne umesema nini eti??Haya bana.
Yaani hadi wewe unasema hivi?Nashindwaje kupokea pasi wakati hawatoi pasi??
Mzembe[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini mtoa pasi halalamiki kwa pasi zake kupotea ovyo?
Mfano pasi mpya huwa zinampita tu mlangoniEti simpigii pasi za mwisho madai yake nakuwa mbinafsi kama cr7 wa Madrid, juzi kaamua kuja kunikaba mimi mwenzake ili achukue mpira lakini nimempiga konga kaanguka ndio naona hapa analalama kwamba natumia dawa [emoji23]
Jamaa mzembe Sana yaaniUnampigia pass nzuri kabisa ila yeye hawezi kutuliza mipira anatulizia ugoko hatimae mpira unarudi kwako
Bradha ni mstaarabu sana, na mambo yake ni ya kistaarabu.Davet mbona kama bradha huwa anakulalamikia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unaujua mchezo nikajua nawe shabiki mandaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliona kiatu chako kwa Felister
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ankoo, kuna utukutu wa kistarabu kumbe?Bradha ni mstaarabu sana, na mambo yake ni ya kistaarabu.
ningendako ni mtukutu sana ila utukutu wake ni wa kistaarabu
Sasa huyo shwaini Davet pamoja na ustaarabu wake lakini hafai, mwepesi sana kutingisha kuta za himaya za wenzake. Nahisi nguzo za himaya ya Bradha ni za miti ya mchicha...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijana kaniacha kwa umbali aisee, ngoja nami niongeze juhudi nimfikie hata nusu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemuacha ningendako kwa mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂achana na upepo....Pindua mezaNaona upepo ushageuka.
Wazima lakini?