moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Niliamkia hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi hutakiwi kusoma post zake ukiwa mbele ya watu wengi mana watakuona kichaa
ππππ dah!Nikikumbuka ulivyo nitesa kwenye mawindo yangu ya usiku sina hamu na wewe [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana ndiyo huu, na mida ndiyo hii.
Karibuni tupateView attachment 1407599
Tukaribie nini bro?Umefanya vema,
Karibu tupate lunch ya kiporo cha mihogo[emoji23][emoji23]
View attachment 1407295
Ni waongo kabisa
nipo fresh kuliko maparachichiDaemusin inakuaje mzee wa kazi
Hahah!nipo fresh kuliko maparachichi
nimeona mapicha ya viatu yakiwa yametrend kwenye mtandao wa twitter na JF.
vipi tena?
ebwana weeeeHahah!
Wanasema kiatu kinaeleza tabia ya mvaaji ndio maana umeviona vikiwa na ujumbe juu au chini yake
Tukaribie nini bro?
walipotelea wapi hao jamaa......Ulipenda pesa - YP, Y dash
hahahahahahah,Wanaume nyie punguzeni uongo ππππ