Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!teh teh teh
wengine tuna maarifa ya kusoma nafsi za wengineeeeeee
Nilitaka tu kujua maoni yako juu ya ligi ya epl kama maambukizi yakiendelea, bingwa apewe Liver au tusubiri msimu ujao?
Hahah!teh teh teh
wengine tuna maarifa ya kusoma nafsi za wengineeeeeee
dah halafu leo wana kikao kizito kitakachoshirikisha team zote 20...Hahah!
Nilitaka tu kujua maoni yako juu ya ligi ya epl kama maambukizi yakiendelea, bingwa apewe Liver au tusubiri msimu ujao?
mchumba wake NumbisaHuyu Lee Min Ho ni nani? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1407668
Ubingwa haugawiwi kama njugu.Hahah!
Nilitaka tu kujua maoni yako juu ya ligi ya epl kama maambukizi yakiendelea, bingwa apewe Liver au tusubiri msimu ujao?
itakuwa ni zaidi ya laana kwa liverpoolUbingwa haugawiwi kama njugu.
Msimu ufutwe. Tuanza upya mwaka ujao....
I hate wacheza rede [emoji16][emoji16][emoji16]
#TheyWillWalkAlone
#NimedandiaTreni
Wacha kujibu kisiasa embu niambie msimamo au matamanio yako juu ya hayo maamuzi yatakayotoka unawish yawe vipi?dah halafu leo wana kikao kizito kitakachoshirikisha team zote 20...
ngoja tusubirie maamuzi ya kikao.
Mungu atulinde....COVID 19.
Kuenea kwa corona Afrika na hasa Tanzania na majirani zake kunaleta taharuki.
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo hatari kwa nchi tatu za Congo, Kenya na Rwanda ni makubwa.
Kwa mara ya kwanza Kenya imeivuka Rwanda na kuongeza idadi wa waliofariki kwa ugonjwa huo.
Na kwa mara ya kwanza nchi ya Malawi imepata visa vitatu vya corona.
Nchi ya Msumbiji hali inaonekana siyo mbaya sana maana kasi ya kuenea kwa ugonjwa huo siyo kubwa
Afrika mashariki na nchi jirani na Tanzania.
1.Jamuhuri ya Congo 134 vifo 13
2.Kenya 104 vifo 3
3.Rwanda 84
4.Uganda 45
5.Zambia 39 vifo 1
6. Tanzania 20 vifo 1
7.Msumbiji 10
8.Burundi 3
9.Malawi 3
😂😂😂😂 itakuwa poa sana pia itakua habari njema kwa mashabiki wa Samatta maana atakua kanusurika kushuka darajaUbingwa haugawiwi kama njugu.
Msimu ufutwe. Tuanza upya mwaka ujao....
I hate wacheza rede [emoji16][emoji16][emoji16]
#TheyWillWalkAlone
#NimedandiaTreni
teh teh tehWacha kujibu kisiasa embu niambie msimamo au matamanio yako juu ya hayo maamuzi yatakayotoka unawish yawe vipi?
😂😂😂😂Bradha ni mstaarabu sana, na mambo yake ni ya kistaarabu.
ningendako ni mtukutu sana ila utukutu wake ni wa kistaarabu
Sasa huyo shwaini Davet pamoja na ustaarabu wake lakini hafai, mwepesi sana kutingisha kuta za himaya za wenzake. Nahisi nguzo za himaya ya Bradha ni za miti ya mchicha...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yoyo weeeeeeee khaaaah wallah leo nakuwa chizi mieeeeeeh uwuiiiiiiih
😂😂😂 Ligi ikachezwe Jamaica mana Burudi tayari wana cases...teh teh teh
tuachana na mapenzi ya team zetu......
bora ligi ikachezwe BURUNDI au korea ya kaskazini......
- ningelipenda liverpool wapewe ubingwa endapo FA watakapoamua kutokuendelea na ligi, unajua wamebakisha alama 6 tu watangaze ubingwa (dah haitokuwa fair kabisa kufuta ligi yote)
- tatizo 1: ukifuta ligi itakuwa hujawatendea haki makampuni yalionunua haki miliki za kuonyesha live mechi, kivyovyote watataka kulipwa fidia kwa kuvunjwa mkataba wa makubaliano
- tatizo 2: kama wataamua kucheza mechi bila ya mashabiki haitokuwa sahihi kwa upande wa vilabu na mashabiki, vilabu vitapoteza mapato, kuna mashabiki wameshanunua tiketi za msimu mzima (sijui wanasaidiwaje)
nimesikia huko kote hakuna corona.
kwa ufupi chain imeshavunjika