Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Lee Min Ho ni nani? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1407668
teh teh teh
niliwahi kukataliwa na mwanamke kwa sababu ya huyo jamaaa
aliniambia lee min ho ana miguu mizuri, sura nzuri, pua nzuri isiyogusa virus wa corona....... lakini mwenzangu na mimi umejaaliwa miguu mibaya iliopinda kama bunduki ya mrusi, pua ndefu kama kisheti cha msibani, mdomo umejaa porojo kama katuni ya rango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…