Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu atulinde....
 
Wacha kujibu kisiasa embu niambie msimamo au matamanio yako juu ya hayo maamuzi yatakayotoka unawish yawe vipi?
teh teh teh
tuachana na mapenzi ya team zetu......
  1. ningelipenda liverpool wapewe ubingwa endapo FA watakapoamua kutokuendelea na ligi, unajua wamebakisha alama 6 tu watangaze ubingwa (dah haitokuwa fair kabisa kufuta ligi yote)
  2. tatizo 1: ukifuta ligi itakuwa hujawatendea haki makampuni yalionunua haki miliki za kuonyesha live mechi, kivyovyote watataka kulipwa fidia kwa kuvunjwa mkataba wa makubaliano
  3. tatizo 2: kama wataamua kucheza mechi bila ya mashabiki haitokuwa sahihi kwa upande wa vilabu na mashabiki, vilabu vitapoteza mapato, kuna mashabiki wameshanunua tiketi za msimu mzima (sijui wanasaidiwaje)
bora ligi ikachezwe BURUNDI au korea ya kaskazini......
nimesikia huko kote hakuna corona.

kwa ufupi chain imeshavunjika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ligi ikachezwe Jamaica mana Burudi tayari wana cases...

Haya mambo haya ni mazito sana mzee mana wakimpa ubingwa Liver mziki utabaki huku chini kwenye timu za kushuka daraja ukizingatia karibia wote walikua bado na nafasi ya kujitoa kule chini, pia ata kule Championship nani apende nani asipande mana nafasi ilikua bado wazi kwa timu nyingi kupanda Premier....

Swala la kulipa fidia FA hawawezi kulikwepa ni lazima walipe tu sasa... Hoja tuone leo watafikia maamuzi gani kwenye kikao chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…