Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tano Bora.
Mastaa wa muziki watano matajiri zaidi barani Afrika.
2.Black Coffe.
Huyu ni raia wa Afrika kusini ambaye jina lake halisi ni Nkhosinathi Maphumulo.
Black Cofee anashika nafasi ya pili barani Afrika miongoni mwa wanamuziki wanaomiliki mkwanja mrefu
Thamani ya utajiri wake ni dola milioni 60 ambazo ni sawa na madafu bilioni 134
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ