Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mhh!! Malawi wagonjwa watatu?!!
Msumbiji wagonjwa kumi?
Boda ya Zobue/Mwanza kwa upande wa Malawi imejaa wageni wanaotoka SA na Wamalawi wenyewe wanarudi kwao, utaratibu ni mbovu sana.Tete kwa upande wa Msumbiji ni timbwili tupu, pale ni makutano ya miji mikubwa ya nchi mbalimbali zinazo tegemea bandari za Beira na Maputo kwa kupitia Chimoio.

Mungu atunusuru na huu ugonjwa [emoji120]

Tuchukue tahadhari, muujiza tumwachie Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…