Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Umesahau kwamba ni Mndali? π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba alichemsha juice ama?
Ndio ndioMatumizi ya Choco sio [emoji119]
Eeh! Au alifata simu aje kupiga picha akakuta watu wameinywa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila picha tunajua hajatengeneza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Kizembehivyo
Aminia sana.... wako katika ujenzi wa Taifa πNdio ndio
Ni juice gani mnaziongelea tangu mchana?!Ngoja nikuwekee iliyobaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nzuri hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mdogo wangu juice inatokaje vibaya[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
jack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.
Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),
heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)
Pamoja sana bro ila haya maelezo yako yamenivutia na mimi kuifatiliajack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.
Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),
heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)
[emoji23][emoji23][emoji23]Eeh! Au alifata simu aje kupiga picha akakuta watu wameinywa
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aminia sana.... wako katika ujenzi wa Taifa [emoji3]
weka nzito tafadhali (wengine ni wageni huko uzunguni).Hizo Movie laini Mkorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe utaosha glass tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa hebu huko
Ni juice gani mnaziongelea tangu mchana?!
Ni juice hizi juice au juisiiii?
JIRANI msaada wako tasavali, maana vijana wako si wa kiume wala wa kike wote wapo busy kuongelea utamu wa juisiii...
Sent using Jamii Forums mobile app