Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
πππHuyohuyo
Jamaa anajionaga anadeki chumba cha domo
hayo maparachichi yanaongeza nguvu za kike?
Woow! Mzigo sindio huo sasa π
Ila huko kwenu maparachichi mnayaonea jamani πππππ
Yaani nimwage huku nimechuma maparachichi usiku.Bila picha bado haujanywa, tunajua ilimwagika
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maziwa nilipasha kidogo tu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda iliungua
Parachichi la nini tena..... si lipo kwenye juice
Leo 03/04 watu walikuwa kwenye sherehe za kusubiri season 4 ya *Money heist* atimae imetoka. Itafute hii najua itaipenda sana, sio ngumu wala nini pia yale mambo yako yapo ya kutosha tuweka nzito tafadhali (wengine ni wageni huko uzunguni).
Kwa kweli siwezi kula chakula bila parachichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Parachichi la nini tena..... si lipo kwenye juice
ππππ
napenda action,Leo 03/04 watu walikuwa kwenye sherehe za kusubiri season 4 ya *Money heist* atimae imetoka. Itafute hii najua itaipenda sana, sio ngumu wala nini pia yale mambo yako yapo ya kutosha tu
Nifanyeje sasa Kama yapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila huko kwenu maparachichi mnayaonea jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
weka nzito tafadhali (wengine ni wageni huko uzunguni).
Nikitengeneza tena nitaweka parachichi kidogo, ndizi kidogo na maziwa mengiWoow! Mzigo sindio huo sasa [emoji39]
Kama nzito sana unazimua na maziwa tu