Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kweli siwezi kula chakula bila parachichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sasa hamnenepi? Parachichi lina mafuta balaa lakini nashangaa mnajinadi eti vimbaumbau. Au mafuta yote yanaishia mkiani? Shwaini zenu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Leo 03/04 watu walikuwa kwenye sherehe za kusubiri season 4 ya *Money heist* atimae imetoka. Itafute hii najua itaipenda sana, sio ngumu wala nini pia yale mambo yako yapo ya kutosha tu
Leo naona channel zote za movie tele wameweka huu mzigo.
Halafu uzuri zaid ni hadi ep8,haka ka weekend ni katam sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…