Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Malizia kusoma comment yangu nimeieditYaani huwezi kujisifia vizuri tu mpaka ujiharibie. Unaniuzigi yaani mpaka basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia kusoma comment yangu nimeieditYaani huwezi kujisifia vizuri tu mpaka ujiharibie. Unaniuzigi yaani mpaka basi.
Yap...Kazi ipo. Cha muhimu uzima tu lakini...
Aundreana rene ulimcheki Nilikuambiaga ?I love (thick) women. Siwezi kuficha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] jasti weit end sii[emoji16][emoji16][emoji16] Nyie hawa wenye aibu hawa? Sidhani....Mnaogopa kudharauliwa...Ila wenzenu wazungu kawaida tu...Laivu kabisa mtoto anakuomba akutoe out....Nyie mhhh !!!
Be mai gesti. Ai dea yu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndiyo. NIliweka na picha zake hapa. Mbona wa kawaida tu bro?Aundreana rene ulimcheki Nilikuambiaga ?
Shukuru tu haunenepi, ungekuwa unanenepa saa hii sijui tungekubebea mbeleko gani maana siyo kwa speed hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye mambo ya kula huwa Sina mzaha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufai [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Sijambo dada sijui wewe
Na wewe ni kimbaumbau au una vinyama nyama kidogo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Shukuru tu haunenepi, ungekuwa unanenepa saa hii sijui tungekubebea mbeleko gani maana siyo kwa speed hiyo.
Me Naona ndio Thickest ig model wa US Kat ya ninao wafahamu....yup unaona ni bomba zaidi yake?Ndiyo. NIliweka na picha zake hapa. Mbona wa kawaida tu bro?
Aundreana Rene’ [emoji184] (@realcreolebarbieeebku) • Instagram photos and videos
Nawe pia The DonUsiku mwema wapendwa. Tuchukue tahadhari zote ikiwemo hii ya kuosha mikono yetu mara kwa mara. Mungu Awabariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1408151
Wewe ukatembee kwa mguu??Kwani mvua zinanyesha 24/7?
Gari zitatetemeka.
Helikopita mvua.
Wewe utaendaje huko Ileje? Haya nitakuja kwa miguu basi. Au kuna mito na matope kibao?