Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2885bd95-cdd1-4a61-aca2-5a66b0910bc7.jpg
 
La notification nimeshalizoea ila hili la picha walah halizoeleki. Sijambo The Don habari ya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi udownload tapatalk halafu unalog in na kuiongeza JF humo kama group lako. Notifications utapata na picha zitaonekana. Mi ndiyo naponea huko kwa sasa.

Habari yangu njema. Nipo tu home nagaragara kwenye karantini....
 
Hahaha hivi ndivyo mnajinyima fursa na kutunyima wengine, unasemaje utanyimwa na hujaomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Weweee. Tunapimaga upepo kwanza. Kunyimwa kunauma wewe ...halafu unaona wenzio wanapewa. Unabaki kujilaumu mi nilikosea wapi au mi nina kasoro gani? Waweza pata depression bure.....
 
Kwaheri Bill Withers
Nilsikiliza kwa mara ya kwanza Lean on me - mwaka 1977
Utakumbukwa sana View attachment 1408108


Sent from my iPhone using Tapatalk
Kumbe huyu mwamba ndiyo aliimba Lean on Me? Muvi ya Lean on Me naitafuta sana ili niiongezee kwenye collection zangu. Apumzike salama. Miaka 82 si haba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Itabidi udownload tapatalk halafu unalog in na kuiongeza JF humo kama group lako. Notifications utapata na picha zitaonekana. Mi ndiyo naponea huko kwa sasa.

Habari yangu njema. Nipo tu home nagaragara kwenye karantini....
Nitajaribu kufanya hivyo kama simu itaruhusu, jitahidi upate wa kugaragara nae humo ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweee. Tunapimaga upepo kwanza. Kunyimwa kunauma wewe ...halafu unaona wenzio wanapewa. Unabaki kujilaumu mi nilikosea wapi au mi nina kasoro gani? Waweza pata depression bure.....
Hahaha wanaume wote wangekuwa wanahofia kunyimwa hata ndoa zisingekuwepo, unaniangusha The Don

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom