Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Fanya kurewind bhasi[emoji16]Picha lishaisha
Huku salama pia, nikutakie jumapili njema yenye kupendeza hapo.Kumbe kuna maendeleo basi ngoja nitembee kifua mbere...mimi mzima kabisa sijui kwenu huko
Nianze?!Fanya kurewind bhasi[emoji16]
Hasa mkikutana na yule "furushi" jael-espy-atoto hamfai hata kwa bure.Mnaumwa ninyi [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kuongezea ankoo..[emoji16][emoji16]Hasa mkikutana na yule "furushi" jael-espy-atoto hamfai hata kwa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Nianze?!
Aubiri nimalizie kwaraza bustani kwanza
Kwenye *So so Fresh* kuna segment inaitwa *Mtu mmoja kwenye track tatu* Unaipata?Chid kwenye ubora wake..
Niaje mzee mwenzangu? Mitikasi inaendaje pande hizo?
Hapana bro, na siku nyingi sana sisikiliz So so fresh, nafikili toka ameacha Ncha Kali, akaja Adam sijaisikiliza tena..Kwenye *So so Fresh* kuna segment inaitwa *Mtu mmoja kwenye track tatu* Unaipata?
Kila kitu fresh mzee, vipi mbishe?
Daah ππ kweli umekata kamba kitambo sana mzee, tatizo lako una misimamo sanaHapana bro, na siku nyingi sana sisikiliz So so fresh, nafikili toka ameacha Ncha Kali, akaja Adam sijaisikiliza tena..
Mishe fresh tu,Allah anabless mzee mwenzangu
Naacha[emoji23]
Aaah kama ni mambo ya bustani, acha kwanza[emoji23][emoji23]
Ushatoka Kanisani sasa π