Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikate mbona haina tatizo hiyo.
Ni vile baadhi watu wanapenda sifa za kitajiri wakati wanajua hawana huo utajiri .
Hakuna sababu ya kuiga maisha ya kitajiri wakati unaijua nia kapuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hamna huo utajiri SI Ni Bora kukaa watupu tu kuliko kufanya vituko vya kuweka mikate Kama keki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…