carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nimefurahi umesema uko gymNini kimekuchekesha hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Piga keleleee kwa stella akee
Watu weuweeeeee[emoji122][emoji122][emoji122]
Kama wewe unajijua kuwa hautachepuka ukishafanikiwa basi umshukuru Mungu kwa hilo, lakini wanaume wenzio wengi hawako hivyo na wanajiona wako sawa.Mi siku nikifanikiwa sitaki mwanamke mpya.
Niliyetafuta naye kuni ndiye nitakaye ota naye moto.
Najua ukiwa na mkwanja mrefu kila mwanamke anajigongesha kwa kisingizio cha kukwepa nyodo za watu masikini
Katika wanaume elfu,mpo wawili tu Kama weweMi siku nikifanikiwa sitaki mwanamke mpya.
Niliyetafuta naye kuni ndiye nitakaye ota naye moto.
Najua ukiwa na mkwanja mrefu kila mwanamke anajigongesha kwa kisingizio cha kukwepa nyodo za watu masikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu wengi adi wanamwagikia
Wewe umeona ni kingi??[emoji849][emoji849]Hicho chakula cha Anne unasema kidogo?
Huyu jamaa huwa sometimes ananivunja mbavu..huwaga anavaa miwani ya mbao..anavumilia matusi yoteSijamuona
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu wengi adi wanamwagikia
Kajitahidi sanaKawa fundi mkubwa ndani ya muda mdogo [emoji3]
πππ Umeona ostaz hatobadirika
[emoji119][emoji119]
Ndio nasema hivi: location sikupi utakuja kufanyia hasira πWewe umeona ni kingi??[emoji849][emoji849]
Acha masikhara basi[emoji16][emoji16]
Naelewa naelewa[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
#chestmuhimu
ππππHahaha
Hangover imeisha??
πππNaelewa naelewa[emoji119][emoji119]
#hatupendikulaliambavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nasema hivi: location sikupi utakuja kufanyia hasira [emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe uliona ile taarifa ya chupa kuamka na chai?