Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole Anko, nimeenda nikajikuta naumia mimi. Ila kuna jamaa kamkomalia kwa matusi mpaka katulia. Francis da don sikujua kama ni mjinga kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Mara nyingi huwa inatokea nikionewa basi walimwengu huja kutoa funzo kwa muoneaji, ngoja nikaone tena nini kimejiri huko. Asante Anko
 
Hahah! Mara nyingi huwa inatokea nikionewa basi walimwengu huja kutoa funzo kwa muoneaji, ngoja nikaone tena nini kimejiri huko. Asante Anko
KD acha usigombane utaumia
KD usibishane Koo litakauka
KD chukua maji kunywa umechoka
KD poyeee
KD pumzika kutype vidole vitavimba
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…