Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Sana tu, hofu kwako weweMzima lakini?
Huyo jini ndiye aliyesababisha wengi tukaachana na filamu za kiswahili [emoji1][emoji1][emoji1]Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia ili asigongwe na gari.!
Mtu anaweka sumu kwenye chakula anakoroga halafu anaonja kama imekolea.!! [emoji28]
Naona unapongezwa π
Mchukue na huyo wa tatu alafu ndio awe wa mwisho ππHahaha nilio nao huku wananitosha bro,kwenye huu uzi yupo mmoja, na kule kapuku yupo mmoja.. Wananitosha hawa[emoji2]
Nimekuachia wewe bro[emoji16]Mchukue na huyo wa tatu alafu ndio awe wa mwisho [emoji3][emoji3]
πππππNimekuachia wewe bro[emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Pyua Mwakaleli dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona naona βββNdiyo..matamu sana
Nataka niongeze mwili kidogo..ulipungua sanaView attachment 1410730View attachment 1410736View attachment 1410735
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechaguliwa wewe lakini mzee
The Exorcist hahaha...