Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bado nitaendelea kukazia mzee, haiwezekani ukawa na dada mmoja tu jf yote hii 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unakazia bro
Umekwiva sasa 🙌🙌🙌
Leo maziwa yamenogesha[emoji39][emoji39]Umekwiva sasa [emoji119][emoji119][emoji119]
Safiii
Mzima lakini?😂😂😂
#nimeacha
sijaelewa...
Jini anavuka barabara anaangalia kulia na kushoto ili asigongwe na gari
Kwamba leo yalikua mengi zaidi?
Ana mfumo wa uchezaji wa Christian Ronaldo.Mambo yake ni mazito sana..!!
Wapi hiyo karantini....
Hahaha nilio nao huku wananitosha bro,kwenye huu uzi yupo mmoja, na kule kapuku yupo mmoja.. Wananitosha hawa[emoji2]Bado nitaendelea kukazia mzee, haiwezekani ukawa na dada mmoja tu jf yote hii [emoji3][emoji3]