Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

53833109-f288-442b-8e26-f90bba23a648.jpg
 
Tanzania imepata ongezeko la wagonjwa wa Corona.
Mpaka sasa imepata wagonjwa wengine wawili hivyo jumla ni wagonjwa 24 pamoja na wale watatu walioruhusiwa na mmoja aliyefariki.
Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Afya kupitia kwa msemaji wake Waziri Ummy MwalimuView attachment 1410615
Duh! Mdogo mdogo tu
 
Back
Top Bottom