myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
R.I.PPep Guardiola amefiwa na mama yake mzazi kwa ugonjwa wa corona.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 81 amefariki mjini mjini BarcelonaView attachment 1411146
😂😂
Gari itoke wapi ankoo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kila nikijaribu kukuonea huruma nafsi inasita. Wakunyooshe tu, malipo ni hapo hapo nyumbani.
Mnapitia barabara iliyo pembeni ya kituo cha mafuta? Mbona ni nzuri tu kwa gari? Labda kama wanakukomaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huruma ya huo mwendo tu, nakumbuka kwa mbele kuna korongo, usipo livuka maana yake uliache kushoto upitilize. Kama ni huko pole lakini kama ni karibu na shule ya msingi basi, pambana [emoji1][emoji1]Gari itoke wapi ankoo??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza tulitokea nzovwe..
Yaani unionee huruma kwa shamba dogo hivyo??
Nataka kwenda ileje kuvuna karanga..kule sasa ndo Kuna kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kawekwa kabatini nasijui kama atatoka any time soon
Nampa pole sana
Kaka yake mtu naomba nikusalimie[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili zenu mnazijua wenyeweAnichukue na mimi niwe dada yake[emoji16][emoji16]
Yaani kwenye korongo halafu mbele tenaHuruma ya huo mwendo tu, nakumbuka kwa mbele kuna korongo, usipo livuka maana yake uliache kushoto upitilize. Kama ni huko pole lakini kama ni karibu na shule ya msingi basi, pambana [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo nisamehe, huko ni mbali aisee.Yaani kwenye korongo halafu mbele tena
Unapanda kimlimaView attachment 1411352
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kivuli kwa chini kushoto kina tafsiri nyingi sana. Hii ni Afrika yetu [emoji120]Yaani kwenye korongo halafu mbele tena
Unapanda kimlimaView attachment 1411352
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna kitambi mdogo angu.... 😂😂 wape akina th siri ya uremboKwa kulima?
Nilichoka hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4] asante, safari ndiyo inaanza hivyo treni ndiyo inaondoka tazara dar.
Ni mbali SanaAnkoo nisamehe, huko ni mbali aisee.
Pole sana. Sema tu ile kauli "kama unataka mali utayapata shambani" lazima itimie kwa vitendo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hicho kivuli kwa chini kushoto kina tafsiri nyingi sana. Hii ni Afrika yetu [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeHuna kitambi mdogo angu.... [emoji23][emoji23] wape akina th siri ya urembo
Oke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4] asante, safari ndiyo inaanza hivyo treni ndiyo inaondoka tazara dar.