moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kijana nimeipenda sana avatar yako[emoji120]
ndefu sana....
season 1 pekee imebeba episode 22.
ndefu sana....
season 1 pekee imebeba episode 22.
Sijui kamelimwa ban ya wiki moja, mbili au ya mwezi mzima? Zile tafiti zinahitajika aisee...Tuombe kaachiliwe mapema na tukashauri kapunguze ligi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1411569
babu andjul mimi mjukuu wako nisiye na nidhamu nakuomba ubadilishe hiyo avatar iliopo kwenye profile yako.....
huyo samaki ana kichwa kibaya kuliko jiwe la DODOMA chamwino
Una matatizo wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
SawaNgoja nikitoka Gym nakufundisha [emoji16]