Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400019100794_31740.jpg
 
Jamaa wameshamuonya tayari....anaweza kujikuta kibao kimemgeukia....

Dhambi hii nilishaapa kuwa sitakaa iniangushe (tena) japo wake za watu wana tabia ya kujirahisisha sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na iwe hivyo!

Nadhani sababu ya kujirahisisha ni kutokana na ukweli kwamba ndoa nyingi ni ndoano.
 
Back
Top Bottom