carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hivi bado uko kwenye ugumu babe?Wagumu Oeeeeeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi bado uko kwenye ugumu babe?Wagumu Oeeeeeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mekusikia mremboCarba
Ukiona kazi yoyote huko inazurura bila mtu,niunganishe tafwadhari
Salon,uyaya,uhousegirl,dukani na nyingine nyingi ambazo si haramu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh! Mndali anahitaji maujanja zaidiNipo mzee.
#naonahabarizamilkshake
Inawahusu pia akina kaka. Tunawaona wanakuja huku kitaa na upper second zao na hata first class. Hawana elimu ya kitaa na kujifunza hawataki. Ndo hawa utawasikia kila siku wanalalama jiwe kabana lakini mishe za kawaida hawataki. Kwa jinsi mfumo wetu ulivyo viajira vya jiwe havitasaidia lolote hata kama vingeachiliwa vyote....
Na aliyeanzisha hiyo sredi ni mpumbavu. Na aliyeikwoti na kuileta huku kwetu naye ni mpumbavu tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huyo mwanamke ni mpumbafu[emoji706][emoji706]
Huyo mwanamke ni mpumbafu[emoji706][emoji706]
Kwamba na wewe utachapiwa??[emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] That's my bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]Si Mpaka wewe ukubali, simu alishika mwingine huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi bado uko kwenye ugumu babe?
Yego mlaini kuliko hata butter iliyowekwa juu ya kikaango cha moto [emoji16][emoji16][emoji16]Namsapoti My Former Chairman Yego amebaki peke yake
Mimi nimemsemea huyo mwanamkeNa aliyeanzisha hiyo sredi ni mpumbavu. Na aliyeikwoti na kuileta huku kwetu naye ni mpumbavu tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
He!!#Kunaepukika....
Hasa kama na wewe huchapi nje. Ila kama unachapa nje mi naomba tu nawe uchapiwe tena hata sabini mara saba ikiwezekana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba hakuepukiki??Kwani hujaona ujumbe wa Shemeji yako Hapo juu?