Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ana hoja ya msingi sana ambayo wengi wangeizingatia wangeishi maisha yasiyo na stress katika ndoa zao na hata kuepuka kufa mapema kwa sababu zisizo na msingi

#KwaniWanaondokaNayo?
#HaimalizagiUtamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hapa sitii neno kabisa
Inawahusu pia akina kaka. Tunawaona wanakuja huku kitaa na upper second zao na hata first class. Hawana elimu ya kitaa na kujifunza hawataki. Ndo hawa utawasikia kila siku wanalalama jiwe kabana lakini mishe za kawaida hawataki. Kwa jinsi mfumo wetu ulivyo viajira vya jiwe havitasaidia lolote hata kama vingeachiliwa vyote....
 
[emoji122][emoji122]Ubarikiwe unajitambua mrembo
Mpendwa wewe ni mtu wa pekee sana. Ukiniuliza kwanini nimesema hivyo, kiukweli hata mimi sijui. Lakini wastahili sifa bila unafiki. Mungu ana jambo jema na wewe hapa duniani. Na si siku nyingi zijazo...
Tuzidi kumtegemea Allah [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana hoja ya msingi sana ambayo wengi wangeizingatia wangeishi maisha yasiyo na stress katika ndoa zao na hata kuepuka kufa mapema kwa sababu zisizo na msingi

#KwaniWanaondokaNayo?
#HaimalizagiUtamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

#KUCHAPIWAHAKUEPUKIKI
#Imeshahiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi nafanya kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sichagui kazi..maisha yenyewe ya kwetu magumu tu.
Hivi nikimalizana na shamba naenda kutafuta kazi..hata uhousegirl.
Kama kwenu mna shida ya housegirl utanistua[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom