myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nimecheka hadi nimelia tena [emoji23][emoji23][emoji119]
Aki mtu akinijibu hivyo naondoka..japo nitaumia Sana siku za mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi, sema nipo ni vile tunapishana mtani.Mtani ndo ulezi unakuweka busy hivi??
ππ hizo ni utani tu sio kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sipati picha aliyejibiwa hivyo yuko katika hali gani.
ππ dogo wewe ni kula kacheze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kwa sababu nacheka cheka humu unajua Basi Mambo mwekede
Ile milkshake parachichi bure,ndizi bure maziwa bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi kukuona mtaniMambo mengi, sema nipo ni vile tunapishana mtani.
Wapumbavu ni wengi mno.Huyo mwanamke ni mpumbafu[emoji706][emoji706]
[emoji818][emoji818]Wapumbavu ni wengi mno.
Mwanamke mpumbavu huiharibu nyumbaye kwa mikono yake mwenyewe.
πππSawa fundi[emoji23]