Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee ngoja nitafuteHua natumia mtego wa gundi zinauzwa kubwa 2000 ndogo 1000 wananasa hatari hawatoki mpaka uwatoe na kuutupa mtego
Siwezi kukaa na paka kabisatafuta mkate, au tungule then changanya na sumu.
kama una huruma na wanyama kama kigwangwala basi watafutie paka ili wakimbie wenyewe
Huwa nahamia kenya talk. Kisha nadownload draft(checkers) nacheza mwenyewe nikiwa free hapo bado movies zinanisubiria. Jf kupita ki anonymous hainogi mwishowe utajikuta unafungua fekero
Ndio hyo ya Kwanza auntie?View attachment 1412416
Siwezi kukaa na paka kabisa
Huko tayari... Taja vya Arusha