Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂😂😂 wewe utakua unataka kutembelea nyota za wakubwa tu, huu msisitizo huu sijawahi kuona babeBabe zingatia maombi ya wakubwa kwanza[emoji23]
Marahaba TH. Huku shwari kabisa. Vipi kwako huko? Naona mmeongeza mgonjwa mmoja tu wa Korona? Mungu Aendelee kuwabariki na kuwalinda. Asante sana [emoji1545][emoji1545]Heh, hapo sawa.......Shikamoo The Don, hali yako.?
[emoji23][emoji23][emoji23] una nini lakini??[emoji23][emoji23][emoji23] wewe utakua unataka kutembelea nyota za wakubwa tu, huu msisitizo huu sijawahi kuona babe
UmeonaeMarahaba TH. Huku shwari kabisa. Vipi kwako huko? Naona mmeongeza mgonjwa mmoja tu wa Korona? Mungu Aendelee kuwabariki na kuwalinda. Asante sana [emoji1545][emoji1545]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ankoo, binti mvumilivu Mungu azidi kulijaza kapu lako la huruma na upendo. Huyo shwaini mvumilie tu Mungu kakupa japo sio wa kufanana nae, ila nani utamuachia amkubali?
Ubarikiwe sana [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mungu tu anatupigania The don, naimani hali itakuwa shwari tena siku mojaMarahaba TH. Huku shwari kabisa. Vipi kwako huko? Naona mmeongeza mgonjwa mmoja tu wa Korona? Mungu Aendelee kuwabariki na kuwalinda. Asante sana [emoji1545][emoji1545]
Mficha maradhi......Umeonae