Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtoto wa kiume gangamala, tafuta hela, mpe wife hela,mheshimu,wajibika ipasavyo,piga shoo ya jasho na damu akukumbuke kila saa kila wakati, hata akienda kwa mchepuko picha yako itawale mawazoni mwake. Wanawake wengi wanachepuka kwa kutothaminiwa na waume zao.
Kama yote hayo umemtendea na bado anachepuka usisite kumpa adhabu, namaanisha adhabu kubwa kabisa yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi ndizo hekima sasa...

Uzi huu ni mgodi wenye infinite supply ya kila kitu...
 
.
2361673_FB_IMG_1586326851102.jpeg
 
Back
Top Bottom