Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hili ni stafeli?
Ndiyo.
Ingawa yamegawanyika sehemu mbili kama unavyoona pichani.
Hata hivyo hilo dogo baadhi ya maeneo wanaliita topetope, ingawa kimsingi yote ni mastaferi
FB_IMG_1586272634868.jpeg
FB_IMG_1586364856615.jpeg
 
Asante sana bro,ujumbe wako nimeupenda ntaufanyia kazi huko mbeleni..

Ubarikiwe sana kwa kuwa ni mwenye busara na hekma!
Mtoto wa kiume gangamala, tafuta hela, mpe wife hela,mheshimu,wajibika ipasavyo,piga shoo ya jasho na damu akukumbuke kila saa kila wakati, hata akienda kwa mchepuko picha yako itawale mawazoni mwake. Wanawake wengi wanachepuka kwa kutothaminiwa na waume zao.
Kama yote hayo umemtendea na bado anachepuka usisite kumpa adhabu, namaanisha adhabu kubwa kabisa yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema ankoo, nikukosoe kwa nini anko? Sistahili hata kulegeza gidamu za viatu vyako
Maana ziwa Ngosi kila mtu analijua kwa kusimuliwa. Nikajua na wewe walikusimulia kuwa kwenye huto tuvisiwa kuna kilimo cha maparachichi...
Siku imeendaje Anko? Mungu ni mwema tupo kama tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom