Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro, niliileta hii sredi hapa jana bro Mkatalunya akachapia chapia mjadala ukafa. Kimsingi hakuna sababu ya msingi ya kuumia na ukiweza kufanya hivyo utaishi maisha stress free na utafurahia sana ndoa yako. Siyo kila mara unajishtukia ooh nachapiwa wakati hata ukigundua huna la kufanya mbali na kujiumiza zaidi. Na kama nawe unachapa nje basi huna hata haki ya kuanza kuchunguza kama unachapiwa ama la! Wakati mwingine wanaume tunajiletea stress za bure tu na kuishia kupata heart attacks na strokes kwa sababu za kijinga kabisa.

#KwaniWanaondokaNayo?
#HaimalizagiUtamu
#Hakuepukiki [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Asante sana bro,ujumbe wako nimeupenda ntaufanyia kazi huko mbeleni..

Ubarikiwe sana kwa kuwa ni mwenye busara na hekma!
 
Back
Top Bottom