Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji16][emoji16][emoji16] the Don wewe
[emoji16][emoji16][emoji16] the Don wewe
Asali waweza fanya +/- kama hupend sukari nyingi kama mimiIla asali mmmh[emoji848]
Nitaweka kidogo..sipendi asali.
Nikipata muda kesho nitaenda kuisaka ice cream
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona fundiNdio maana nimekuambia changanya kwa makadirio yako wewe mwenyewe alafu unaweza kuachana na hiyo ice cream ukatumia Chocolate tu ya kawaida
Hata ukii blend yenyewe mbona inayeyukaChocolate ya kawaida naiyeyusha kwanza???
Kweli asali nitaweka kidogo maana siipendi..asali Ni ya watoto
Watoto wanapenda asali
Watoto wanapenda sukari
Hawapendi ukali
Maisha kufika...
Na Tena kwa msoto mkali
I love you nananana
Niki2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtindi je?aah bahati mbaya sipendi maziwa fresh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhusiano: Wanaume hujiamini kuwa watupu (uchi) mbele ya mpenzi/mchumba wake baada ya miezi 05, Wanawake ni miezi 08 (Tangu kuanza kwa uhusiano).Chanzo: Unilad
Hivyo vitabu pembeni sidhani kama vinasomwa kwa wakati.Asali ni anti-inflammatory na ina faida nyingi za kiafya ila wanasayansi wanasisitiza sana kuwa ili kuzipata faida hizi ni lazima asali hiyo iwe ya asili na isichujwe wala kuongezewa kitu cho chote (Raw and Unfiltered). Asali pia ina sukari nyingi na wanasayansi wanaonya kuwa isitumiwe kwa wingi kwa sababu sukari ikizidi mwilini siyo nzuri (rejea tafiti mbalimbali za Numby). Kijiko kimoja cha chai kina Calories 60 kwa natural and unfiltered honey na wanashauri sana usitumie zaidi ya vijiko viwili kwa wakati mmoja....
View attachment 1412954
Mbishe fresh kipande hiiKwema kaka, mambo niaje?mishemishe vipi pande hzo?
Hahah! juice bado
Pamoja bro..Mbishe fresh kipande hii
Sawa stela
Hivi vitabu vinasomwa sana. Na tafakuri nzito...Kesho utaona kitu shemeji....Hivyo vitabu pembeni sidhani kama vinasomwa kwa wakati.
Huu uzi umenilevya hadi nasahau hata kujisomea viprinsipo vya taaluma yangu
Sent using Jamii Forums mobile app