Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Jamani jamani.....
Bro, niliileta hii sredi hapa jana bro Mkatalunya akachapia chapia mjadala ukafa. Kimsingi hakuna sababu ya msingi ya kuumia na ukiweza kufanya hivyo utaishi maisha stress free na utafurahia sana ndoa yako. Siyo kila mara unajishtukia ooh nachapiwa wakati hata ukigundua huna la kufanya mbali na kujiumiza zaidi. Na kama nawe unachapa nje basi huna hata haki ya kuanza kuchunguza kama unachapiwa ama la! Wakati mwingine wanaume tunajiletea stress za bure tu na kuishia kupata heart attacks na strokes kwa sababu za kijinga kabisa.
Sijui anko nilkuwa nachezaga kwenye computer ya broo tumuulize Davet kama analijuaEeenheee... Ankoo nalitaka hilo, yule msichana nimemvua sana nguo yaani mpaka anabaki mpyeeee... Yaani unyoya nyoya huu hapa.
Nalipataje Ankoo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili chama sio poa bro ✌
Akili zao huwa zinawaza makopa tuWakikutana na yule ben10 wake huwa wanakera sana
Cole leo nimekusalimia umenichunia?Ndoa ni Joto Ndoa ni Jua kali
Ukuje harakaOoh! Naanzaje kupinga sasa?
Nishike tu jameni ....
🔥Hili chama sio poa bro ✌
Ni kweli kama na wewe ni mchapaji haiwezi kuuma ila kama wewe ni mwaminifu kuumia lazimaBro, niliileta hii sredi hapa jana bro Mkatalunya akachapia chapia mjadala ukafa. Kimsingi hakuna sababu ya msingi ya kuumia na ukiweza kufanya hivyo utaishi maisha stress free na utafurahia sana ndoa yako. Siyo kila mara unajishtukia ooh nachapiwa wakati hata ukigundua huna la kufanya mbali na kujiumiza zaidi. Na kama nawe unachapa nje basi huna hata haki ya kuanza kuchunguza kama unachapiwa ama la! Wakati mwingine wanaume tunajiletea stress za bure tu na kuishia kupata heart attacks na strokes kwa sababu za kijinga kabisa.
#KwaniWanaondokaNayo?
#HaimalizagiUtamu
#Hakuepukiki [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
I don't wanna hurt you but you live for the pain
I'm not tryna say it but it's what you became
You want me to fix you but it's never enough
That's why you always call me cause you're scared to be loved
But I'll always be there for you, I'll always be there for you
I'll always be there for you, girl I have no shame
I'll always be there for you, I'll always be there for you
I'll always be there for you, girl I have no shame
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Ukuje haraka
Sina chocolateHahah! juice bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]