Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heeh! Basi makubwa [emoji3][emoji3]
.[emoji2210]
20200408_214255.jpeg
 
Kama niliona ile Carba was Here [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Dah![emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kaka Mkubwa unataka kutia neno, umeshawahi kuigiza

Habari za uzima ?
Hakika Mungu ni mwema.
Haya mambo ya parables ukisha yaanza huwa unanikumbusha mbali sana.
Maigizo yapo na mnufaika ni mmoja kwa upande wake na mnufaikwa ni mmoja kwa wake. Kwahiyo hii ipo na haikwepeki hata iweje.
Kuna swali hili:-
Mzazi:unaolewa na nani? Ana uwezo kifedha? Atatutunza?

Mzazi:unamuoa nani? Kwao wana uwezo kifedha? Hawatakutegemea matunzo?

Hapo ndipo igizo linapoanzia ndoa ikifungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana bro,ujumbe wako nimeupenda ntaufanyia kazi huko mbeleni..

Ubarikiwe sana kwa kuwa ni mwenye busara na hekma!
Busara?

Na hekima?

Mimi huyu?

Hekima na busara za misambwanda labda. Ila asante sana bro. You are always humble as usual. Mtu wala hawezi kujua kuwa we ni "digala" hapo Bulyankulu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Niko nafata nyendo zako tu Mkatalunya, kuangalia sana touches zako, unavyo pokea mipira ya juu naongeza ujuzi bro

Pamoja sana brother [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂

Hizi nyendo kumbe sote tunafatizana
 
Back
Top Bottom