Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rudisha nyaraka mahali pake mara umalizapo kuzitumiaKutokurudisha nyaraka mahali pake kumewasababishia watu wengi kupoteza nyaraka zao. Watu huchukua nyaraka mara zinapohitajika lakini husahau kuzirejesha kwa wakati na mahali sahihi walipozichukua.
 
Tumia hazina za kwenye mtandaoTeknolojia imerahisisha na kuboresha maisha. Hakuna haja ya kubeba vyeti au nyaraka muhimu kila mahali. Unaweza kuscan na kuweka nyaraka zako kwenye hazina za data za kwenye mtandao na ukazipata popote pale mara unapozihitaji.Unaweza kutumia hazina ya barua pepe au hazina nyingine kama vile Google Drive: 15GB bure, Box: 10GB bure, OneDrive: 5GB bure (1TB Kwa wanafunzi), iCloud: 5GB bure ili kuhifadhi nakala za nyaraka zako muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…