Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni rahisi Sana mkuu..kwa mtu ambaye si mzururaji Ni rahisi Sana....ila kwa mtu mwenye shughuli nyingi Ni ngumu Sana kushona.
Hata huu tunanunua si hei Sana..hicho kifundo kimoja miambili kinatoa Pima moja Kwenye Kiri..Hadi kujamilika naweza tumia hivyo fundo 10 -14 kulingana na upana wa ukindu wenyewe
Ahaaa Kmbe sio Simple Simple hvyo
Thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom