Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1586408258841.jpeg
 
Mama mzaa bibi yangu alikuaga mtaalamu wa hizi mambo. Ningekua na mzuka na ukiri saiv ningekua mtaalamu sana yaan alikua anatoa mikeka mizuri ya kila aina
Mimi mama yangu anasuka..ndiye aliyenifundisha..
Iko ya Aina nyinginyingi Kama sasa huo nasuka mkufu
Kuna moyo,kizingiti na nyingine nyingi.

Mimi nimetokea tu kupenda ..namsaidia mama,akishona akiuza tunapata miambili mbili za kula kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha mia mbili mbili bana sema elfu elfu anne unapenda kauliza kimaskini wakati mna utajiri wa kutosha. Waza maendeleo waza mambo makubwa.

Kuna aunt yangu anashona vikapu vizuri nataman kujifunza tatizo anaishi mbali mno
 
😂😂😂😂
Kweli elfu mbili mbili.
Vikapu alikuwa anashona marehemu dada yangu(our 1st born) bahati mbaya alifariki kabla sijajifunza vizuri..ila wapo wanawe wanajua,namsubiri mwanae amalize chuo aje anielekeze.
Dada yangu alikuwa anapata hela nzuri tu kwa kushona vikapu..siku ya soko anaenda anauza na vilikuwa vinaisha vyote.
 
Back
Top Bottom