Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
🙈Hahaha, hebu fanya kunionyesha tabasamu lako
Waambie kwanza wafumbe macho, mwenzio me naogopa.!
🙈Hahaha, hebu fanya kunionyesha tabasamu lako
Same here,Itakua mazoea tu, mimi nilikuaga natumia App zamani ila baada ya kuanza huku kwenye browser nikaifuta App yenyewe mana niliona taka tu
Hahaha..😂😂😂😂
Napenda ulivyomalizia maana sikawii mimi, niswala la robo saa tu 😀
[emoji85]
Waambie kwanza wafumbe macho, mwenzio me naogopa.!
😂 😂 😂 😂Ukikohoa inatoka 😂😂😂🏃
Amkia hiyo kwa picha
Hahahaha me simo....leo unasali kanisa gani na mimi nikuje?😂 😂 😂 😂
Niache mdogo wangu bwana sitaki ya Jana yajirudie.!
Ila hako nako katakuwa na umbo dogo kama pilipili kichaa.!
Na mimi wa 3Saa hizi hapa hakuna mtu tumebaki sisi wawili tu[emoji23]
Nakuona mtoto ndani ya deraUkindu
Kama huu juu tunachemshia na rangi unakuwa namna hiyo ndipo tunasuka
Au
Tunasuka kwanza ukindu mweupe bila kuweka na rangi
Halafu tunachemsha na rangi baada ya kumaliza kiri
Kiri yake Ni Kama hiyo ya chiniView attachment 1413602View attachment 1413605
Sent using Jamii Forums mobile app
Na maisha yanaenda fresh kabisa tunaenjoy kuwa hapaSame here,
App ilinishinda kabisa nikai uninstall.! Nimebaki naingia kwa browser kwakweli.!
😂😂😂😂😂Hahaha..
Hii robo saa hukuwahi isahau jamani ukanikumbusha mpaka kwenye thread nyingine kule duniani.!
I am so thankful bro aliniwahi..!!
Ahaaa Kmbe sio Simple Simple hvyoPicha ya mmea Sina kwa sababu hauoti huku kwetu.
Huu ninaosukia sehemu niliyonunua waliniambia unatoka mkoani moshi
4 hapaNa mimi wa 3
Ipo Malawi katikati ya Chitipa na Karonga,au kabla hauja fika Karonga shukia Kibwe upande wakulia imeota sana.Picha ya mmea Sina kwa sababu hauoti huku kwetu.
Huu ninaosukia sehemu niliyonunua waliniambia unatoka mkoani moshi
At least ila nimekimiss kichwa cha samakiIpo Malawi katikati ya Chitipa na Karonga,au kabla hauja fika Karonga shukia Kibwe upande wakulia imeota sana.
Mzima Anko?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anko kwema?At least ila nimekumiss kichwa cha samaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😂 😂
Halafu vinakuwaga na khasira kama vile vimeibiwa mke..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiii ustadhi MoSaa hizi hapa hakuna mtu tumebaki sisi wawili tu[emoji23]
May her soul rest in peace. Amen😂😂😂😂
Kweli elfu mbili mbili.
Vikapu alikuwa anashona marehemu dada yangu(our 1st born) bahati mbaya alifariki kabla sijajifunza vizuri..ila wapo wanawe wanajua,namsubiri mwanae amalize chuo aje anielekeze.
Dada yangu alikuwa anapata hela nzuri tu kwa kushona vikapu..siku ya soko anaenda anauza na vilikuwa vinaisha vyote.