Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4A56E339-1DE1-4EE8-9E1D-EA5DB7CC1AC5.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto kashindikana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi tufanye kikao cha kifamilia tuone itakuwaje. Tatizo hata sisi tukizubaa tunaweza kujikuta tunakula za uso. Malezi magumu sana asikwambie mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom